LYRICS

Search for a song or choose an album and track.

A FATHER FIGURE album cover

A FATHER FIGURE

Dizasta Vina

Get better (ft Beno Mwampamba)

A FATHER FIGURE • Dizasta Vina
Lyrics copied!
Leo imeshakuwa jioni Na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni Hata dalili zake hatuzioni Hivi vitu vinavunja imani Vinaleta simanzi Ila sisi ni simba wenye njaa kali Bila windo hatulali Tuna-claim watoto now hatukimbii mimba Tunatunza pesa maana haivutii shida Tunajua shida zina mipaka Ni kama mvua kali na jua ni vipindi tu vya mwaka Tunajua kesho haitasimama Ikiwa tutaendelea kulalama Na kulaumu kuhusu jana Tunajua kuwa nyumbani kuna jambo Ndio maana hatupigi bunda kwenda ng'ambo Ndio, nyumbani hakuna hali, hakuna ari wala hakuna hela Ila we know we will get betterYeah Polisi wanatuona nuksi sana sana But hatupigi tungi kama jana Japo bado tuko Maskani tunaskuti tuki-think cheda And we hope that we get better, get better Wanajua tumepoteza saa we need prophet Walk around with a broken heart, broken pockets Hatuhitaji party za kumwaga hela Tunahitaji kujua for sure that we'll get better We need one hug, we need one hope We need one love we need one door So we know kuna kesho tena And we hope that we get better, hope that we get better Tuko mbali na nyumbani mbali na mizani Tunajua tumepinda sawa sawa Ndoto zinaminywa kama chawa Tunawindwa na madawa Matumaini bado that we'll get get better Hatupo special matokeo hofu Nini kesho wakati leo mbovu? Hoja zetu zinapingwa hazifiki kwao Simama ninja siri ya mabingwa ni hadithi zao Kunywa maji life marathon Kifo naye ni mwana so kabana koo Hatuzungumziwi na wazungumzaji Tunapoishi giza kali hata Mungu haji Hawatuweki next kwenye talk show Maana itikadi hazi-match na hawa ma-top dog Kuwa na furaha ukiwa kwenye hali ngumu ni kwere Hakuna hali inayodumu milele ah Kichwa kime-concentrate msuba Tangu mtoto nina-contemplate kufa Hatufanani na sera madhabahuni Na nyumbani kwetu ni jela na makaburiBut we get better We get better I know that we'll get better I'm sure we'll get better We'll get better

More From This Album

More songs from this album

Join The Family

New music. Stories. Early access. Things you won't find everywhere else.

© 2026 Dizasta Vina. All Rights Reserved.