LATEST TRACKS
VIDEOS
#SikuMbaya 10 years ago #JESUSta
Dizasta Vina - Karibu duniani
Dizasta Vina - Get Better (Ft Beno Mwampamba)
NEWS & UPDATE
Wanaume na Sanaa ya Kujikata Miguu
Nakumbuka wakati fulani tulikuwa tunatazama runinga na familia, maudhui mbalimbali yalirushwa hewani, wasaa ukaenda tukiyatazama na kati ya hayo yakawemo yaliyohusu kampeni ya kushawishi wanafunzi wa jinsia KE kuchagua michepuo ya Sayansi kwenye masomo.
Biashara ya Kuuza Matumaini
Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo magonjwa sugu kama Kisukari…
Waraka wa Wanyama kwa Binadamu
Waraka huu utumike kama mashitaka kwa binadamu kwa kushindwa kuishi kwenye daraja la ustaarabu wake, Ustaarabu anaokwezwa kuwa nao.


