LYRICS

Search for a song or choose an album and track.

JESUSTA album cover

JESUSTA

Dizasta Vina

Nobody is safe

JESUSTA • Dizasta Vina
Lyrics copied!
YeahYou know who he!?? Ah a.k.a chuji Hii sauti juu ya hili dundo ni ka' ngumi Nikiteta hadithi utahisi ngugi Mi' sio star, mi' sio adui, mi sio scene mi' ndo' movieWaambie machizi mi' nna stamina So mbovu akija nampeleka speed mpaka asthma Na hizo trash zenu hazina, (hadhi) Nikiwaka naweza kumgeuza Fid akawa SajnaNna Strong mandatory state kama Cuba Nishakula beji navusha majeshi kama Musa Napo-educate uuma Rumors zinasambaa mi' ndo' fundi nnaei-decorate boombapNa mama alinizaa brigedia Nina nyota ninaijua mitaa nashika njia Ukiijua game beba silaha kupigania Mi kituo cha mistari brother kaa mita miaStill Panorama still Tamaduni Still HIPHOP still rappers wanazikwa napobuni Mwanafalsafa nisietaka kuandikwa vitabuni Napigana vita nikifa nazikwa na wahuni, (still)Hayawi wananchi Hii ajenda ifike kwa kila mchawi kwenye mji Kwamba sitishiki wakileta drama siigizi Mi ndo' mzizi sio tawi kwenye mtiMcees kama barbecue nyama choma Nawaunguza mpaka hawataki kuniona, (kama kifo) Mwanza na Dodoma Zinasikika singo napo-dribble mtaani wananiita black MaradonaI am ready I was ready I've born ready men Choose beautiful start or choose scary end Ka' ulisikia mi sifai hii ni evidence Kibaha maili noja mi' ni eight miles EminemNa mwoga ndio anashika tunguli Nishashika moja kamwe siwezi shika sifuri Sahau hoja za vioja zilizozikwa kivuli Mi' bleed mwana siwezi kufichwa na kufuliNishazoea msoto ndio nishibe Unaponipeleka foko ili nife (unajichosha) Zoea msoto ili ushinde, (kirahisi) Ka' nishati ya jua navyorahisisha photosynthesisNatuliza nyongo nikiona zogo linakua Nakomaa na msoto maana ni msoto ulionifua Kuna jambo dogo ambalo hata watoto hawajatambua Kuna joto ila dizasta ni wa moto kushinda jua That's very sure that i am times two smarter Single sentence inayo-analysiz full chapter Zama school kwanza hii ni proof kwamba Hata ukitaga yai hauwezi ukaryhme juu ya hapaKama gravity I'm still balanced Guaranteed punchlines na skills kama warranty Twende!! Zama maktaba ufungue vitabu babu hizi hesabu zimetoka nje ya hii galaxyNa mtapiga chata nikishapita Siku hiyo mlima utabusu anga nikishazikwa Vunja kikao mwana imeshathibitishwa Hakuna mganga au mwanga wakuwanga hiki kichwa(sikiliza) Imagine begi bila bega Fegi bila mzuka ama mengi bila pesa Mbegu bila udongo ama bendi bila dancers Ama arsenal bila wenger hiyo ni game bila mimiNna-explore physics na nakala za economy Chemistry maths lugha jiografia biology Karudie shule nishakuwekea benchmark Naimaliza rap kama unanidai follow meKasuru mpaka Nakuru nazuru kambi Kusambaza hisimu kuiweka huru nafsi Nahudumu kiharakati hata ushuru sitaki Na ufalme utasimama mbele ya msururu wa wanafkiRap messiah is back on earth back to take what I had to so bow down devil Conquer like a pirate nigga you don't see me 'coz I'm writing down in the quantum levelMi' na perfection we the same Thang Ni majirani sana and sometimes we play the same game Mi' domination kama gang-bang Si-run down the city mi na-fly high nigga kama planeThe reason game ime-stuck haipigi counter Tunaacha asiye na hoja za msingi a-speak louder Nikiwafata sio battle tena ni slaughter I don't create fences i push the boundaries outerSherehe hugeuka mazishi kama nikienda mi Herufi huitwa maandishi kama nikiremba mi You've never been ready next time you better be I'm the next big thing Tanzania will ever seeMi nachana wewe cheche inatoka Ni mfano wa stimu za kaya nikupe uende kumoka Kichwa asset kichwa panga jembe na shoka Hisia za kukupeleka sky ukacheze na nyotaAh!! Usipopaa hautui Mzembe ukizidi fuga nyembe hili dafu haulifui Hauwezi kujua shida ikiwa njaa hauijui, na hauwezi kua shujaa bila adui Dizasta

More From This Album

More songs from this album

Join The Family

New music. Stories. Early access. Things you won't find everywhere else.

© 2026 Panorama Authentik. All Rights Reserved.