LYRICS
Search for a song or choose an album and track.

NDUGU WA MBALI
Dizasta Vina x Kaa La Moto
Champion
NDUGU WA MBALI • Dizasta Vina x Kaa La Moto
Lyrics copied!
Sauti kwa wakubwa wote na watoto
Matajiri au wasakatonge kwenye msoto
Mjini kwa wasomi wenye degree ama bushi
Kwa wakazi ambao huduma za jamii hazigusiY’all the champions
Ukiishi smart kwenye jiji
Kwa full focus kama una hitaji la kukidhi
Wakijivisha hadhi kiasi hawakutaji kwenye list
Jua we ni muhimu kama vile small nut kwenye engine
Y’all the championNiliishi, niliogopa bei
Nilipewa mikoba na mikoba haienei
Sikuandaliwa kuwa mwema ama mkubwa, leo nimekua mkubwa
So I’m sober for the dayI’m a champion, nilikuwa mwanaume baada ya baba kufa
Niliamua nijitume baada ya dhihaka kuja
Shida ilinishika, nikashika shina la uhasla
Afu nikapiga mishe kuhakikisha mpaka inahama nuktaI’m a champion, na nina hitaji kuu
Nisimamishe ganji maana wanasema money rules
So ninachohitaji ni mtaji tu
Nisimamishe regime yenye hadhi ka Afro Shiraz
Party juuMan, I swear, I’m a champion
Niwe na will ya kudare kama vile Don Corleone
Wata-air hizi views kwenye radio
Wata-share hizi news kila area, kujua mi ni champion ka Popa SamattaBila kufeli naenda proper na culture
All the properties were improbable
But here I am, na focus ka locus, brother
Ma-MC wanaogopa kufataPandisha socks, imeingia hatamu
Na zile episodes zimefikia patamu
Kwenye kila spot, kila zamu, shika hatamu mpaka mwishoReady or not, nigger, here I come
Champion kama G-Son, nazagaa Marekani
Champion kwenye mtaa, nazaa tafrani
Kwenye waya ukishangaa kwa nini sipatikaniChill, D ni champ kama Dar Young Africans
Siko slow, niko fasta, unaweza ukapata pumu
Masta, nina pawa ya kuzifanya ngumu, champion
(Champion)Sina chawa na midananda, ila nina mbawa za kupaa
Afu naenda sawa na wakaanga sumu
(Champion)Usishangae nikiwa better than flani na flani
Ninachowaza ni mamkwanja, maujanja ya hapa na pale
Ma-financial security ka Bakhresa, mhAll I want to be is be a better man, champion
Time passes, go figure
Go home or go bigger, I’m a champion
Professional progression, grow bigger
All I want to get is dough, niggerOne more bloodshed
One more sweat one more tears, i know that’s how you’re standing up
One step at a time
One step on the ground, nigger, and that’s how you make it farKama upo town, unajipinda, ule champion
Kama una mtoto na anapiga shule (Champion)
Kama upo hai, unajipinda
Jua asili inakuwinda, ufe, kwa hiyo sherehekea, we ni championNajua upo shule na hawaenzi kipaji
Umepiga kura na bungeni hautajwi
Umefungwa mabondeni, umezungukwa
Na madeni huku shida zimesheheni kwa idadiJipige kifuani, we ni champion
You know, for keeping up with parliament and school shit
All government and bullshit
Mara chanjo, mara bodi ya mapato
Everything is too quickSijawahi kuona mkono uliotulia ukashika fao
Ukifa njaa, habari hazitafika kwao
Chagua kulala au kulalamika kwenye mitandao
Au uache masihara, uamke, uanze kupiga baoJua kali na msuli unabana
Ukishindwa, jiliwaze na zuri la jana
Hata kama ulishindwa, basi ulipiganaRest in Peace, Malcolm Ally Masoud Kipanya
My beautiful mom is a champion
My big brother Sajo is a champion
And Palla, you are the champion
We should all stand together like championsKamwe usiogope kuanza na moja
Hata wakihisi kuwa unafanya kioja
Najua umezungukwa na mawingu ya masimango na chuki
Lakini bado we simama kisoja
(Champion)
More From This Album
More songs from this album
Join The Family
New music. Stories. Early access. Things you won't find everywhere else.
© 2026 Dizasta Vina. All Rights Reserved.