LYRICS

Search for a song or choose an album and track.

THE VERTELLER album cover

THE VERTELLER

Dizasta Vina

A Confession of a Mad Son (feat. Dash)

THE VERTELLER • Dizasta Vina
Lyrics copied!
Ah! watakwambia mi’ wa kishua ‘cause I’m cute and Niko juu kama human kwenye food chain Vile I look good and I got this cool slang Na nina rap skills ka’ Sean P wa Boot CampWatasema kuhusu my intelligence my balances Watakuambia kuhusu my Teammates my Alliances Watakuambia kuwa nina fans mpaka Kansas Na nina-ball pia nina-draw pia ni Enthusiast wa ScienceWatakuambia kuwa nina fans mpaka Marabu Watakuambia kuwa my brain is all lava-full Watakuambia kuwa nina perfume Ninayopaka kuwa ina karafuu na ina-smell wonderfulHawatakuambia kuhusu aliyenikanya hadi nikome Aliyenizaa akanilea akani… Akanipenda, akani… Akanifanya msafi mnioneSilabi, ah! zinaunda vitenzi kwa irabu Kutengeneza mashujaa wengi wa vitabu Tarihi zinatungwa toka enzi za mababu Mi’ nimeona shujaa wa kweli ni ajabuSidhani, kama inatosha kusema “thank you” Ukinihitaji just whistle and ‘Imma’ rescue Ni bahati leo niko hai, simple nafurahi kukuona Ukiwa happy and I’m gratefulKama nina nyota nyumbani nahitaji nini? Nahitaji nini? Uko moyoni mahala ambapo nahifadhi PIN Naku-post ‘Insta’ kisha naku-hashtag #QUEENWapo ambao walifuga kiburi Wakazipanda mbegu wakavuna sifuri Walichana misamba wakavunja misuli Sikutetereka maana ulinifunza vizuriUmenifunza jinsi ya kuishi na pia Umenipa hekima umenipa misingi na njia Kisha ukanipa bega kubwa la kukidhi dunia Linanipa faraja pindi n’napohisi kuliaNani mjinga azuie mbegu bora kuchipua? Labda kama shamba limezongwa na mabua Umenilea ‘Soja’ nimekua, umenifunza akiba Maana umasikini kidonda natambuaNiko mbali natafuta miradi sawia Mvua inanyesha radi nasikia Bado nasimama Imara, Asante kwa kunilea vyema mama, Umeipa zawadi duniaAsante kwa upendo wako asante kwa kunipatia hifadhi Asante kwa mabusu siwezi kuhesabia idadi Asante kwa picha kali naiandikia dibaji We’ ni shujaa nitasimulia vizazi Happy BirthdayHappy birthday Happy birthday Happy birthdayUkubwa wa upendo wako hauwezi wekwa mchanganuo Nimekulia mahala ambapo kuwa mwema si chaguo Umenipa busara sihitaji tena mafunuo Ikiwa nimepewa funguo, ya kuifungua duniaNasikitika kauli yangu sio rasmi But I’m sure you’ve always meant for some’ high Maybe that’s how Angel got to be You’re a proven God to meWimbo huu ni upendo wangu kwako Marafiki wanafurahia uwepo wangu japo Wapo kadhaa wanaochukia uwezo wangu Hawatajua wala kuikisia kesho yanguWe’ ni kioo naona kesho nai-reflect vile Naona pande naona mbele najiuliza Mi’ ni nani nikusahau nikudharau Wakati wazi umenipa sababu moja zaidi ya ku-respect womenSiwezi lipa tone la kamasi ulilonifuta Siwezi tafuta chozi la samaki lililovuja Siwezi badili muda kisha ukawa thamani Nikaurudisha nawakusanya wenzangu nawafundishaTumweshimu mama, wapi tunda pasipo mbegu? Imeandikwa iwapi rutuba pasipo nyevu Usipojua umuhimu wa msingi kwa kuta ndefu Ni sawa na kuzipanda mbigiri na kuja pekuWe’ ni sauti ya uchochezi, hasa n’napolega We’ ni lugha we’ ni kurasa yangu pendwa We’ ni kitabu kitamu siwezi weka kando nikishika We’ ni ka’ kiini kwenye AtomWe’ ni Oprah, Michelle, Shyrose Bhanji We’ ni Winnie Mandela, Sophia(sonia) Ghandhi We’ ni kama paka mwenye roho tisa We’ Serena, we’ ni Stosh Fellie, Go TifaYou’re my Violet my Rose and my lily ah! You’re my best friend, you’re my wishing star You’re my sweet dreams my wonder woman My Cat woman, my first love and that’s vividYou love when I’m broke and when I get paid Before and after my payday You love me anyway, so I surrender my Ego And my Arrogance and I’m singing happy birthday

More From This Album

More songs from this album

Join The Family

New music. Stories. Early access. Things you won't find everywhere else.

© 2026 Panorama Authentik. All Rights Reserved.