LYRICS

Search for a song or choose an album and track.

THE VERTELLER album cover

THE VERTELLER

Dizasta Vina

Money

THE VERTELLER • Dizasta Vina
Lyrics copied!
Money makes the world go round Money makes the world go round I say money makes the world go round Money makes the world go roundI heard makes the world go round Money makes the world go round Money makes the world go round Money makes th...Ikasikika sauti wananchi tuna msoto na mashaka Pesa imefichwa na kigogo mwenye madaraka Mjira hamna maisha hovyo tumechoka kusafa Na kuanzia sasa tunaingia chocho kwenda kukabaAkapita kibopa mwenye afya Akiwa ana suti kali ni dhahiri ametoka kwenye Hafla Hakusalimia kwakuwa ana kiburi Ila ghafla akajikuta kwenye kona la kibakaKona la kibaka asiyezubaa hasira imemjaa Amechakaa life imemchapa Kamvaa kibopa kampiga roba matata Pochi ikadondoka muhuni akaokota akachapa rabaMasaa kama nane kibaka hajala hata Tumbo linadai na isitoshе jana alilala kapa Akaenda kwa mama Muuza akapiga Nguna Alafu kabla hajasepa akauliza "nikilala huduma nitapata?"Muuza ni dada fulani mwenyе bodi tata Kipato hakimtoshi anahitaji kodi ya alipopanga Mwenye nyumba ni mgomvi anahoji anataka mkwanja Anasomesha mtoto Boarding ana boarding wanataka adaMtoto anayelipiwa ada ye hayuko shule Shule amechoka anatoroka anauza ngada Tatizo lake mzembe alipewa mzigo akaupoteza Na anadaiwa na bosi mtataSasa ameshahamaki yuko njiapanda Mkono mmoja kwenye kichwa mwingine ameshika ada Anataka kumpa Mtasha anawaza hela haitoshi anaahirisha Anaenda kwa Pusha kuvuta ganjaMoney makes the world go round Money makes the world go round I say money makes the world go round Money makes the world go roundI heard makes the world go round Money makes the world go round Money makes the world go round Money makes th...Anafika kwa Pusha anapewa Kipuli anavuta mastimu anapata Anatoa mpunga ili amlipe pusha Pusha hajainuka mzuka umepandaPusha kaona Polisi wakuda kama saba Pusha hajaficha Puya anakuta mbwa wametanda Dogo kaangusha mpunga kasepa Pusha kasanda Hawezi furukuta kuruka ukuta kote wamesandaRiziki mafungu saba wanasema Pusha kafunua yote mafungu saba hajapata hata moja Polisi wanaona Pusha hana ujanja Ni aidha waelewane au aende Central akanyee makashaPusha akaokota mpunga ule mpunga dogo kauacha Akihesabu ni nyingi na bado anatoka kapa Akawaza akimbie labda akaogopa maana Mmoja ameshika Maga kubwa SMG chataAkampa mkuu chake na wale wenzake akawapa Kila mmoja akala zake akaenda zake kudampa Mmoja gambe mwingine anajua kwamba Anahitaji dawa kwa maana mkewe anaugua KansaMwingine ni kamali amekubuhu hawezi acha Kufika kwa Sadali kazungukwa na Mashanta Na habari wote tayari wanaijua namba Yaani hata ucheze kwa shari mali hauwezi pataKila akicheza hola anaokota garasa Akicheki mkwanja unatoka anaanza kuogopa karata Chombo kinaenda mrama, mchuzi umekosa radha Pesa sabuni jamani Polisi akaanza kudata, CozMoney makes the world go round Money makes the world go round I approve that Money makes the world go round Money makes the world go roundMoney makes the world go round Money makes the world go round Money makes the world go round Money makes....Ikasikika toba tena kwa sauti ya kwanza Wajanja Mkwanja wamekomba na mjinga nauli imekata Maniga wamekomba dola wamezama machaka Na Wasaa wa kugawana chapaa ndio ikawa utataAkasikika dogo " Nawaheshimu sana mabradha " Mnafanya mgao gani ambao siuhafiki hasa Vile mimi ni mdogo mnanifanyia undava Hamuwezi mkagawa kote alafu mimi MkaniachaMshata akajibu akasema dogo kausha kwanza Hauwezi ukapaza sauti mahala ambapo hauna chata Hauna ubavu hauna title kauli hauna Kaka Hauna mo.....Dogo akakunja ndita hasira kushinda Mdada Aliyepima akajikuta na Mimba baada ya kubakwa Gadhabu ya kwanza ishu kuwaza Akakata shauri akachukua kisu akaanza kumfata yule kakaSauti ya uchungu ikasikika dogo aking'aka Nipeni haki yangu la si hivyo moto utawaka Mkononi zana kali akamfata braza Uku braza anatamba kama ubavu anza kunikataTumekulea sisi hapa mjini kabla Haujaanza kujua jiji kipindi kaka yako kafa Alileta ujuaji mwingi kama ufanyavyo wewe Tukamchinja mwili Kibiti kichwa MsataAliishia hapo hakumaliza hata Alichotaka kuongea alitoa macho kama kakabwa Maneno hayatoki tena hali ime-change ghafla Kisu tumboni kauli imekata ndio maana wanasema kuwa..Money makes the world go round Money makes the world go round Money makes the world go round Money makes the world go roundSo now Money makes the world stops

More From This Album

More songs from this album

Join The Family

New music. Stories. Early access. Things you won't find everywhere else.

© 2026 Panorama Authentik. All Rights Reserved.