by Dizasta Vina | Aug 30, 2026 | Articles |
Kila ifikapo mwezi wa nane kuelekea mwezi wa tisa, maelfu ya wanyama pori huvuka anga, vilindi vya mito na vichaka vya Serengeti kuelekea kusini mwa nchi ya Kenya kutafuta malisho mapya katika maeneo ya mbuga ya Maasai Mara. Safari hii kubwa ambayo imejirudia kwa...